Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, July 8, 2017

LUKAKU NA POGBA WAJIFUA LIKIZONI MAREKANIWakiwa wanaelekea kuwa wachezaji 'pacha' ghali zaidi katika Premier League - Romelu Lukaku na Paul Pogba wanajifua vilivyo kwenye likizo yao huko Marekani.
Jose Mourinho anaamini kuwa klabu yake imefikia makubaliano na Everton ya kumnunua Lukaku kwa pauni milioni 75 ambayo itamfanya awe mchezaji ghali wa pili katika Premier League nyuma ya Paul Pogba aliyenunuliwa kwa pauni milioni 89.
Wawili hao wenye urafiki wa hali ya juu, wako mapumzikoni Los Angeles na wamekuwa wakijifua pamoja tayari kwa msimu mpya.
Lukaku anategemewa kufanya vipimo vya afya huko huko Los Angeles na inaaminika kuwa dili hilo lina ushawishi mkubwa kutoka kwa Pogba.

MASWAHIBA LUKAKU NA POGBA SI MCHEZO HUKO MAREKANI, WANAJIFUA KINOMA A+ A- Print Email Wakiwa wanaelekea kuwa wachezaji 'pacha' ghali zaidi katika Premier League - Romelu Lukaku na Paul Pogba wanajifua vilivyo kwenye likizo yao huko Marekani. Jose Mourinho anaamini kuwa klabu yake imefikia makubaliano na Everton ya kumnunua Lukaku kwa pauni milioni 75 ambayo itamfanya awe mchezaji ghali wa pili katika Premier League nyuma ya Paul Pogba aliyenunuliwa kwa pauni milioni 89. Wawili hao wenye urafiki wa hali ya juu, wako mapumzikoni Los Angeles na wamekuwa wakijifua pamoja tayari kwa msimu mpya. Lukaku anategemewa kufanya vipimo vya afya huko huko Los Angeles na inaaminika kuwa dili hilo lina ushawishi mkubwa kutoka kwa Pogba. Maswahiba Romelu Lukaku na Paul Pogba wakijifua kinoma

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2017/07/maswahiba-lukaku-na-pogba-si-mchezo.html
Copyright © saluti5