Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, June 27, 2017

RATIBA MECHI ZA TAIFA STARS COSAFA 2017


Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya jana kuanza Vizuri michuano ya COSAFA 2017 itamalizia mechi zake mbili hatua ya Makundi kwa kucheza na Timu za Angola na Mauritius.

27.6.2017 Angola vs Tanzania
Angola vs Tanzania  Mechi hii Itachezwa katika uwanja wa Royal Bafokeng huko Rustenburg Afrika Kusini, Kuanzia saa Mbili na Nusu Usiku (2030 Hours)

29.6.2017 Tanzania vs Mauritius 
Mechi ya Mwisho kwa Tanzania Hatua ya Makundi Itachezwa kuanzia saa kumi na Mbili Jioni (1800 hrs)katika uwanja wa Moruleng Kaskazini Magharibi mwa Afika Kusini.