Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, May 4, 2017

TANZANIA YASALIA 135 VIWANGO VYA UBORA FIFA

FIFA LISTI UBORA DUNIANI: HAMNA MABADILIKO MAKUBWA, BRAZIL BADO 1, TANZANIA PALEPALE 135


FIFA-RANKINGSFIFA Leo imetoa listi mpya ya ubora Duniani kuibadili ile ya mwezi iliyopita na hamna mabadiliko yoyote kwa zile zilizopo 20 bora na pia Tanzania kubaki nafasi yake ile ile ya 135.
Mwezi uliopita, Brazil ilikamata nambari moja Duniani na Tanzania kuchomoka kutoka nafasi ya 157 iliyoshikilia mwezi Machi na kupanda nafasi 22 juu.
nayo Brazil ilirejea kileleni kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 6 kwa kuitoa Argentina namba 1.
Argentina sasa bado wapo namba 2.
Egypt ndiyo timu ya juu kabisa kwa Afrika ikishika nafasi ya 19.
Listi nyingine ya ubora Duniani itatoka Juni 1.
20 BORA:   
1
Brazil
2
Argentina
3
Germany
4
Chile
5
Colombia
6
France
7
Belgium
8
Portugal
9
Switzerland
10
Spain
11
Poland
12
Italy
13
Wales
14
England
15
Uruguay
16
Mexico
17
Peru
18
Croatia
19
Egypt
20
Costa Rica