Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, January 7, 2017

MAN UNITED YAIFANYIA KITU MBAYA REEDING KOMBE LA FARelated image
KLABU ya Manchester United leo imefanyia kweli katika raundi ya tatu ya Kombe la FA baada ya kuifunga Reeding kwa mabao 4-0 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Old Trafford.
Wakati Man United ikifanya mauaji hayo katika mchezo huo, vinara wa Ligi Kuu ya England, Chelsea wenyewe watashuka dimbani kesho kucheza dhidi ya timu ya daraja la tatu ya Peterborough United.
Mabao ya washindi katika mchezo huo wa yamefungwa na nahodha wa Man United Rooney katika dakika ya saba, Martial katika dakika ya 15 huku Rashford akitupia mawili katika dakika ya 75 na 79.No comments:

Post a Comment