Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, July 23, 2016

EUROPA LIGI: RAUNDI YA 3 MTOANO HADHARANI


Mechi za Raundi ya 3 ya Mtoano ya EUROPA LIGI sasa zinajulikana baada ya Jana kumalizika Raundi ya 2 ya Mtoano.
Timu kama West Ham, Spartak Moskva, Krasnodar na GENK ya Ubelgiji anayoichezea Straika mahiri wa Tanzania Mbwana Samatta sasa zinajua nani Mpinzani wao.
Genk itacheza na Cork City ya Ireland kwenye Mechi za Raundi hii zitakazochezwa Julai 28 na Marudiano ni Agosti 4.

Washindi 29 wa Raundi hii watasonga Raundi ya Mchujo ambako watajumuika na Timu 15 zitakazoshindwa Raundi ya 3 ya Mtoano ya UEFA CHAMPIONS LIGI kwa kutumbukizwa kwenye Droo kupanga Mechi zao.
EUROPA LIGI
Raundi ya 3 Mtoano
Ratiba

Lokomotiva Zagreb (CRO) v Vorskla Poltava (UKR)
Saint-Étienne (FRA) v AEK Athens (GRE)
AEK Larnaca (CYP) v Spartak Moskva (RUS)
Pandurii Târgu Jiu (ROU) v Maccabi Tel-Aviv (ISR)
Vojvodina (SRB) v Dinamo Minsk (BLR)
Zagłebie Lubin (POL) v SønderjyskE (DEN)
Austria Wien (AUT) v Spartak Trnava (SVK)
Hertha Berlin (GER) v Brøndby (DEN)
West Ham United (ENG) v Domžale (SVN)
Luzern (SUI) v Sassuolo (ITA)
AIK Solna (SWE) v Panathinaikos (GRE)
İstanbul Başakşehir (TUR) v Rijeka (CRO)
Videoton (HUN) v Midtjylland (DEN)
Slavia Praha (CZE) v Rio Ave (POR)
Osmanlıspor* (TUR) v Nõmme Kalju (EST)
Heracles (NED) v Arouca (POR)
IFK Göteborg (SWE) v HJK Helsinki (FIN)
Birkirkara (MLT) v Krasnodar (RUS)
Aberdeen (SCO) v Maribor (SVN)
Torpedo-Belaz Zhodino (BLR) v Rapid Wien (AUT)
Admira Wacker Mödling (AUT) v Slovan Liberec (CZE)
AZ Alkmaar (NED) v Giannina (GRE)
Lille (FRA) v Qäbälä (AZE)
Genk (BEL) v Cork City (IRL)
Gent (BEL) v Viitorul Constanţa (ROU)
Jelgava (LVA) v Beitar Jerusalem (ISR)
Oleksandriya (UKR) v Hajduk Split (CRO)
Shkëndija (MKD) v Mladá Boleslav (CZE)
Grasshoppers (SUI) v Apollon Limassol (CYP)

*Ushiriki unategemea maamuzi ya Mahakama ya CAS
TIMU ZINAZOANZA MAKUNDI (Droo ni Agosti 26)
Schalke (GER)
Zenit (RUS)
Manchester United (ENG)
Athletic Club (ESP)
Internazionale Milano (ITA)
Fiorentina (ITA)
Braga (POR)
Standard Liège (BEL)
Celta Vigo (ESP)
Feyenoord (NED)
Mainz (GER)
FC Zürich (SUI)
Southampton (ENG)
Nice (FRA)
Zorya Luhansk (UKR)
Konyaspor (TUR)

No comments:

Post a Comment