Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, July 23, 2016

ARSENAL YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI WA BOLTON.

KLABU ya Arsenal imetangaza kukamilisha usajili wa beki Rob Holding kwa mkataba wa muda mrefu kutoka Bolton Wanderers inayoshiriki ligi daraja la tatu hivi sasa. Chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 20, amecheza mechi 30 msimu uliopita wakati Bolton ikishushwa kutoka katika ligi ya ubingwa msimu uliopita. Akihojiwa na mtandao wa klabu hiyo, Holding amesema kuichezea Arsenal ni ndoto aliyokuwa nayo toka mtoto hivyo anafurahi kupata nafasi hiyo. Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Arsenal imelipa kiasi cha paundi milioni mbili kwa ajili ya kupata saini ya Holding ambaye anaweza kucheza beki wa kati au namba nne. Huo unakuwa usajili wa tatu kufanywa na meneja wa Arsenal Arsene Wenger kiangazi hiki baada ya kiungo Granit Xhaka na mshambuliaji Takuma Asano.

RASMI: ARSENAL YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI WA BOLTON. KLABU ya Arsenal imetangaza kukamilisha usajili wa beki Rob Holding kwa mkataba wa muda mrefu kutoka Bolton Wanderers inayoshiriki ligi daraja la tatu hivi sasa. Chipukizi huyo mwenye umri wa miaka 20, amecheza mechi 30 msimu uliopita wakati Bolton ikishushwa kutoka katika ligi ya ubingwa msimu uliopita. Akihojiwa na mtandao wa klabu hiyo, Holding amesema kuichezea Arsenal ni ndoto aliyokuwa nayo toka mtoto hivyo anafurahi kupata nafasi hiyo. Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Arsenal imelipa kiasi cha paundi milioni mbili kwa ajili ya kupata saini ya Holding ambaye anaweza kucheza beki wa kati au namba nne. Huo unakuwa usajili wa tatu kufanywa na meneja wa Arsenal Arsene Wenger kiangazi hiki baada ya kiungo Granit Xhaka na mshambuliaji Takuma Asano.

Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ