Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, June 2, 2016

YANGA KIMENUKA, MANJI AWASIMAMISHA UANACHAMA WALIOCHUKUA FOMU TFF 
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji amemvua uanachama Mzee Msumi baada ya kudaiwa kufanya njama na viongozi TFF kuhujumu uchaguzi Yanga na kupanga safu yao ya uongozi.
Pia amewasimamisha uanachama wale wote waliochukua fomu za kugombea Yanga kupitia Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).