Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, June 14, 2016

CRISTIANO RONALDO MWANASOKA WA KWANZA KUONGOZA LISTI YA FORBES YA WANAMICHEZO WANAOLIPWA JUU



MAGWIJI wa mambo ya Fedha Duniani, Forbes, wameanika Listi ya Wanamichezo wanaovuna Mapato ya Juu kabisa Duniani na anaeongoza Listi hiyo ni Cristiano Ronaldo wa Klabu ya Real Madrid ya Spain.
Ronaldo anaweka Historia ya kuwa Mwanasoka wa Kwanza kabisa kuwa Nambari Wani ya Listi hiyo ya Wanamichezo 100 wa Juu wanaolipwa zaidi baada ya kuvuna Dola Milioni 88 katika Miezi 12 iliyopita akipata Dola Milioni 6.6 zaidi ya Lionel Messi ambae ameshika Namba 2.

Kwenye Mapato hayo, Ronaldo anavuna Dola Milioni 32 kutokana na Matangazo toka kwa Wadhamini nah ii ni mara ya kwanza tangu 2002 ambapo Mtu mwingine kabisa zaidi ya Tiger Woods au Floyd Mayweather ndie anaongoza Listi hii.

Kepteni wa Manchester United, Wayne Rooney, anashika Namba ya 49 kwenye Listi hii.

Kwenye Listi hiyo ya Forbes ya Wanamichezo 10 ambayo wapo Wanawake Wawili, Serena Williams na Maria Sharapova, wapo Wanamichezo toka Nchi 23 na Michezo aina 10 tofauti lakini Wamarekani wapo 65 kutokana na Mapato yao ya juu ya Mishahara yao toka Michezo ya baseball, basketball na American Football.
Listi hii ya Forbes ya Wanamichezo 100 inajumlisha Mishahara na Bonasi na Mapato toka Matangazo ya Wadhamini kwa Kipindi kati ya Juni 1, 2015 na Juni 1, 2016.

FORBES-LISTI YA WANAMICHEZO WENYE MAPATO YA JUU KWA 2016:
JINA
MCHEZO
Mapato (Dola Milioni)
Cristiano Ronaldo (Portugal)
Football
88.0
Lionel Messi (Argentina)
Football
81.4
LeBron James (USA)
Basketball
77.2
Roger Federer (Switzerland)
Tennis
67.8
Kevin Durant (USA)
Basketball
56.2
Novak Djokovic (Serbia)
Tennis
55.8
Cam Newton (USA)
American football     
53.1
Phil Mickelson (USA)
Golf
52.9
Jordan Spieth (USA)
Golf
52.8
Kobe Bryant (USA)
Basketball
50.0
Lewis Hamilton (England)
Formula One
46.0
Tiger Woods (USA)
Golf
45.3
Eli Manning (USA)
American football
45.0
Joe Flacco (USA)
American football
44.5
Tom Brady (USA)
American football
44.1
Floyd Mayweather (USA)
Boxing
44.0
Rory McIlroy (Northern Irelandl)
Golf
42.6
Russell Wilson (USA)
American football
41.8
Sebastian Vettel (Germany)
Formula One
41.0
Philip Rivers (USA)
American football
38.0

No comments:

Post a Comment