Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, May 1, 2016

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 1 v 1 LEICESTER CITY, UBINGWA WA FOX WAKWAMA LEO!

1-1 Leicester sasa kusubiria Ubingwa...Kocha wa Leicester CityMtanange wamalizika kwa sare leo tena. Ubingwa wa Leicester City sasa kuchelewaAnthony Martial dakika ya 8 alianza kuifungulia bao Man United na dakika ya 17 Wes Morgan ameisawazishia bao Timu ya Leicester City na kufanya 1-1.
Kipute bado kinaendelea mpaka sasa... Mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinamalizika ngoma ilikuwa sare ya 1-1.
VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI: De Gea, Valencia, Smalling, Blind, Rojo, Carrick, Fellaini, Lingard, Rooney, Martial, Rashford
Akiba: Depay, Mata, Romero, Ander Herrera, Schneiderlin, Darmian, Fosu-Mensah
Leicester wanaoanza XI: Schmeichel, Simpson, Morgan, Huth, Fuchs, Mahrez, Kante, Drinkwater, Schlupp, Okazaki, Ulloa
Akiba: King, Albrighton, Amartey, Gray, Wasilewski, Chilwell, Schwarzer