Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, March 23, 2016

SIMBA YAPIGA HODI SERIKALINI KUHUSU HUJUMA ZA RATIBA NA MAMBO MENGINE

Klabu ya Simba imepeleka barua ya malalamiko kwa Waziriri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na michezo Mh. Nape Nnauye wakilalamikia Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kushindwa kushughulikia malalamiko yao, kulea makosa na kutosimamia ipasavyo sheria za mchezo wa soka.
Kbla ya kuipeleka barua hiyo kwa Waziri Nnauye afisa habari wa Simba Haji Manara alikutana na waandishi wa habari kwenye ofisi za TFF ambako alifanyanao mkuno kisha kukabidhi barua hiyo kwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu na baadaye kuelekea wizara husika.
Hii hapa barua ya Simba iliyowasilishwa kwa Waziri mwenye dhamana ya kusimamia michezo Mh. Nape Nnauye.

20160323_113623-1
20160323_113635-1
20160323_113700-1
20160323_113709-1