Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 8, 2016

LUIS SUAREZ ATEMBELEA LIVERPOOL IKIJIANDAA KUIVAA MAN UNITED HIVI KARIBUNI

Licha ya kutokuwepo tena katika klabu ya Liverpool, lakini ni dhahiri Luis Suarez bado anaiweka klabu yake hiyo ya zamani karibu na moyo wake.
Wakati Barcelona haitocheza hadi jumamosi, mshambuliaji huyo raia wa Uruguay ametumia muda huo kuitembelea Liverpool wakati ikijiandaa kuvaana na Manchester United.
Luis Suarez akifuatilia mazoezi ya timu ya Liverpool