Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, February 20, 2016

VAN GAAL: TULISHINDWA KWA BAHATI MBAYA


Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa kushindwa kwa 2-1 kwa timu yake dhidi ya kilabu ya kilabu ya Midtjylland ya Sweden ni bahati mbaya.
Memphis Depay aliwaweka kifua mbele Manchester United katika awamu ya kwanza ya mechi ya ligi ya Europa,lakini Pione Sisto na Paul Onuachu waliipatia ushindi timu yao.
Van Gaal ambaye tayari alikuwa anacheza bila wachezaji 13 wanaougua majeraha,alimpoteza kipa David de Gea wakati wa mazoezi ya kujiandaa kucheza mechi hiyo.
''Ni sheria ya Murphy nadhani,''rais huyo wa Uholanzi aliiambia BT michezo.Vitu vingi vinafanyika katika vichwa vya wachezaji na katika dakika 10 ama 15 za kwanza hatukuwa tukicheza vizuri''.

Van Gaal hatahivyo anahisi timu yake iliimarika wakati wa kuendelea kwa kipindi cha kwanza na ingefunga mabao mengi.

Aliongezea: Katika kipindi cha pili hatukushinda mipira yoyote. Hatukuweza kuzuia bao lao la pili lakini hata sisi tungefunga.

No comments:

Post a Comment