Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, February 26, 2016

FAINALI CAPITAL ONE LIVERPOOL VS MAN CIYT NANI KUONDOKA NA NDOO?

Wembley Stadium, London
Jumapili Februari 28
19:30 Liverpool vs Man City
Wembley Stadium, London
Jumapili Februari 28
19:30 Liverpool vs Man City
Bila ya Timu kupata mapumziko ya kutosha, Timu zote 20 za BPL zitatinga tena Viwanjani kucheza Mechi za Ligi na Bigi Mechi katika duru hili ni Jumatano huko Anfield wakati Liverpool wakicheza tena na Man City ndani ya Siku 3.

No comments:

Post a Comment