Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, April 19, 2015

EDEN HAZARD AIPAISHA CHELSEA KILELENI,

Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kuibuka na pointi 3 muhimu dhidi ya Man United.Chelsea players celebrate victoryChelsea ikiwa watashinda Mechi zao 2 zinazofuata basi wao ni Mabingwa.Eden Hazard celebrates scoring thr first goal with team matesUbingwa ni wa kwetu!!Marouane Fellaini challenges Cesar AzpilicuetaFellaini akifanya yake Wayne Rooney and Radamel Falcao complain to referee Michael DeanRooney akipata maelezo juu ya rafu kwa FalcaoJohn Terry goes close with a headerJohn Terry akigombea mpira wa kichwa kupitia kona
Kocha Jose Mourinho 
Ushindi huu umewapa Chelsea uongozi wa Pointi 10 mbele ya Timu ya Pili Arsenal na Man United kubaki Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 11 nyuma.
Chelsea walifunga Bao lao la ushindi Dakika ya 38 kupitia Eden Hazard baada ya pasi nzuri ya kisigino ya Oscar kwenye Mechi ambayo Man United walimiliki Mpira kwa Asilimia 70 dhidi ya 30 ya Chelsea.

Katika Dakika za mwishoni Refa Mike Dean aliinyima Man United Penati baada ya Ander Herrera kuangushwa ndani ya Boksi na badala yake kumpa Kadi ya Njano.
Eden Hazard dakika ya 38 kipindi cha kwanza aliipatia bao la kuongoza kwa kufanya 1-0 dhidi ya Manchester United. Baaada ya kupata pasi safi ya kisigino kutoka Oscar na kumfunga kipa wa Man United De Gea na mechi kwenda mapumziko Chelsea wakiongoza. Eden Hazard akipongezwa na Mashabiki kwa kufanya 1-0Eden Hazard after a missed chanceHazard chupuchupu apate bao tenaEden Hazard attempts an acrobatic shotCesc Fabregas and Ander Herrera battle for the ballAnder akimbana Cesc FabrigasReferee Mike Dean is surrounded by Manchester United playersMwamuzi akizungukwa na wavchezaji wa Man United juu ya rafu Marouane Fellaini in action with Kurt ZoumaFellaini na ZoumaCesc Fabregas in action with Ander HerreraAnder na CescDidier Drogba in actionDrogba kwenye patashikaDidier Drogba tackles Ander HerreraDrogba dhidi ya Ander Herrera
Mashabiki wakiwa tayari kwa mtanange huu wa Chelsea vs Man UnitedVIKOSI:
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Terry, Cahill, Azpilicueta, Zouma, Matic, Oscar, Fabregas, Hazard, Drogba.
Akiba: Cech, Luis, Ramires, Mikel, Willian, Cuadrado, Solanke.

Man Utd: De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Rooney, Mata, Ander Herrera, Fellaini, Young, Falcao.
Akiba: Da Silva, Di Maria, Januzaj, Van Persie, Valdes, Blackett, Pereira.
Refa: Mike Dean.
Msimamo ulivyokuwa kabla ya Mtanange huu.

No comments:

Post a Comment