Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, February 25, 2015

JULIO ATUA COASTAL UNION BAADA YA KUIPANDISHA MWADUI

JAMHURI KIWELU "JULIO" AITOSA MWADUI FC BAADA YA KUIPANDISHA, ATUA COASTAL UNION YA TANGA.


Kocha Msaidizi wa Coastal Union, Jamhuri Kiwelu "Julio"kulia akisisitiza jambo mazoezini jana mara baada ya kuwasili mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu James Nandwa ,Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union, Albert Peter, Katibu Mkuu Coastal Union, Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal Union Akida Machai.

Kocha Msaidizi wa Coastal Union, Jamhuri Kiwelu "Julio"akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya kuwasili mazoezini jana.

No comments:

Post a Comment