Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 2, 2014

KAREM BENZEMA AIPA USHINDI REAL BAADA YA KUIFUNGA LUDOGORETS MABAO 2-1 KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE


Karem Benzema akishangilia bao lake la Ushindi kwa kuilaza 2-1 Lugogorets.Cristiano Ronaldo aliposawazisha bao kwa mkwaju wa penati kipindi cha kwanza dakika ya 25.
Dakika ya 77 Karim Benzema aliifungia bao la pili Real na kufanya 2-1 baada ya kupata Krosi safi kutoka kwa Marcelo.Dakika ya 6 Marcelinho anaipachikia bao la kwanza Ludogorets baada ya Cosmin Moţi kupiga kona na Marcelinho kuunga ndani ya nyavu.
Dakika ya 11 C. Ronaldo anakosa penati.....penati inaondolewa na kipa wa Ludogorets V. Stoyanov. 
Dakika ya 25 Cristiano Ronaldo alisawazisha bao kwa mkwaju wa penati baada ya kukosa penati ya kwanza.

No comments:

Post a Comment